Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Mipango

Kikao cha Manejimenti ya Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Kupitia Rasimu ya Kwanza ya Dira ya Taifa 2050
Menejimenti ya Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo kwa pamoja na Timu kuu ya uandishi wa Dira ya Taifa 2050 zimekutana na Waziri Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.) kwaajili ya kupitia na kupokea maoni ya kuboresha rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa 2050. Kikao hicho kimefanyika leo Septemba 19, 2024 katika Ofisi za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam.