MCHAKATO WA KUKUSANYA MAONI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM - UBUNGO PLAZA 30 Mei, 2024
Habari katika picha: Mamia ya Watanzania waishio Jijini Dar es Salaam pamoja na vyama na asasi mbalimbali za kiraia zaitikia wito wa Kongamano la utoaji maoni kuhusu mchakato wa uandishi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Kongamano hili limefanyika tarehe 30 Mei, 2024 katika ukumbi wa Kilimanjaro jengo la Ubungo planza na kuhudhuliwa na Timu kuu ya Uandishi wa Dira pamoja na watumishi wa Tume ya Mipango.