MREJESHO KUHUSU MAUDHUI YA RASIMU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
MREJESHO KUHUSU MAUDHUI YA RASIMU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 Rasimu ya Dira2050 imezinduliwa rasmi tarehe 11-12-2024 na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Timu Kuu ya Kitaalam ingependa kupata mrejesho kuhusu maudhui ya Rasimu kutoka kwa taasisi na wananchi kwa ujumla. Tafadhali toa maoni yako hapa: https://docs.google.com/forms/d/1YheGfQi-rGbGDO0GUGwulvpgdA92TSJGc9ysRIv6dVk/viewform?edit_requested=true