Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Mipango

Uzinduzi wa taarifa za maboresho ya mazingira ya uwekezaji na biashara na Nyenzo za uwekezaji Nchini
Habari katika picha: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa akizindua taarifa za maboresho ya mazingira ya uwekezaji na biashara na Nyenzo za uwekezaji Nchini, hafla hii imefanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo tarehe 11 Agosti, 2024 na kuhudhuliwa na wadau mbali mbali wa uwekezaji nchini. Vile vile hafla hiyo imeambatana na sherehe za kutimiza mwaka mmoja tangu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipo iunda Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji iliyo hudhuliwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa na Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo.